1bdrm Townhouse/Terrace In Tanzania Daresalaam, Ukonga For Sale
TZS 8,500,000
Nyumba ya chumba kimoja na sebule, yenye eneo mita 20 Kwa mita 15 sawa na sqmita 300, inauzwa milioni 8,500,000/ ipo Gongolamboto Majohe viwege, ipo mtaa mzuri, huduma zote za kijamii zipo karibu na nyumba hii/Romeni John/Zai.
Viwanja · new · Dar es Salaam / ilala /
Muuzaji: romeni john · ⭐ 0.0 (0)