SokoMax - Nunua. Uuza. Rahisi.
← Rudi Mwanzo

Whey Protein

TZS 60,000

Whey protein ni aina ya product nzuri sana kwa ajili ya kuongeza mwili tena kwa wakaka wanaofanya gyme hufanya wapate muscles kwa haraka Faida za kutumia whey protein Inasaidia kujenga muscles Inasaidia kujaza mwili Inasaidia kuondoa nyama nzembe Inasaidia kuongeza kinga ya mwili Husaidia kuthibiti kiwango cha sukari kwenye damu Husaidia kuongeza nutrient ya protein kwenye mwili Ni nzuri pia kwa afya ya moyo Ujazo wake ni kg moja Matumizi yake Ndani ya kopo kuna kijiko chake cha kuchotea Unakuwa unatumia kijiko kimoja kwa siku unachanganya kwenye 200ml ya maji,juice,

Vipodozi · new · Dar es Salaam / kinondoni /

Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)

👁 11 views

Ratings & Reviews

← Rudi Mwanzo