SokoMax - Nunua. Uuza. Rahisi.
← Rudi Mwanzo

Seamoss Supplement

TZS 30,000

Sea moss(mwani)ni product inayotoka bahari ina madini yapatayo 92 Hizi ndio faida za kutumia sea moss(mwani) Inasaidia sana kudhibiti shinikizo la damu Husaidia kuongeza kinga ya mwili Husaidia kuponyesha vidonda vya tumbo Husaidia kusafisha figo Husaidia kuweka kiwango cha sukari sawa kwenye damu Nzuri sana kutibu changamoto ya nguvu za kiume kwa kina baba Husaidia kuweka hormone sawa kwa wanawake Husaidia kupunguza uzito na kitambi Utuliza maumizu ya viungo na mifupa Huondoa sumu mwilini Huondoa na kupunguza uvimbe mwilini Huimarisha afya ya ngozi,kucha na nywele Kopo moja lina supplements 60 Matumizi yake unatumia supplement mbili kwa siku Bei:30000 Call/whatsapp:/ Location:sinza kumekucha near fine travellers hotel

Vipodozi · new · Dar es Salaam / kinondoni /

Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)

👁 10 views

Ratings & Reviews

← Rudi Mwanzo