SokoMax - Nunua. Uuza. Rahisi.
← Rudi Mwanzo

Male Fertility Tea

TZS 20,000

Male fertility tea Kama mwanaume uwezo wako wa kuzaa unategemea wingi na ubora wa mbegu zako Ikiwa idadi ya sperm uliyomwaga ni ndogo au ikiwa mbegu haina ubora, itakuwa ngumu na haiwezekani kupata mimba. Ingredient zinazopatikana kwenye hii chai; Fructus jujubae, mizizi ya maca, Fructus lycii, rhizoma polygonati, mulberry, ginseng kali Faida zake -Kuongeza na kuboresha idadi ya mbegu za kiume -Kuboresha uhamaji wa mbegu za kiume -Kuongeza nguvu ya mbegu za kiume -Kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa wanaume -Kuboresha Stamina -Rutubisha figo Jinsi ya kutumia; Unatakiwa kunywa tea bag moja kwa siku chemsha maji ya moto weka tea bag moja ichanganyike vizuri halafu kunywa Pakti moja linakuwa na tea bag 10

Health (Afya) · new · Dar es Salaam / kinondoni /

Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)

👁 8 views

Ratings & Reviews

← Rudi Mwanzo