SokoMax - Nunua. Uuza. Rahisi.
← Rudi Mwanzo

Foot Reflexology Mat/Mkeka Tiba

TZS 70,000

Foot Reflexology Massage Mat Huu ni mkeka ambao unasaidia kupunguza maumivu mwilini pia unafanya viungo mbalimbali vya mwili kufanya kazi vizuri Umetengenezwa na material ambayo yanadumu kwa muda mrefu Una urefu wa cm:35 na upana wa cm:35 Faida za kutumia huu mkeka Husaidia damu kusambaa vizuri miguuni na mwilini Husaidia watu wanaosimama muda mrefu au wenye maumivu ya nyayo na visigino Unasaidia kupunguza msongo wa mawazo Unasaidia kuchangamsha mwili na kuondoa uchovu Unasaidia kuleta usingizi mzuri Husaidia kuondoa maumivu na mgongo na mabega Husaidia kuchochea mfumo wa mmeng’enyo wa chakula kufanya kazi vizuri Jinsi ya kutumia Kwa matokeo mazuri ni vizuri kukanyaga kwenye mkeka kwa dakika 15 kwa siku

Health (Afya) · new · Dar es Salaam / kinondoni /

Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)

👁 10 views

Ratings & Reviews

← Rudi Mwanzo