SokoMax - Nunua. Uuza. Rahisi.
← Rudi Mwanzo

Matcha Powder

TZS 25,000

Matcha Powder Bei:25000 Matcha powder ni unga unaotengenezwa kutoka kwenye green tea leaves Unafaida mbalimbali mwilini na zifuatazo ni faida zake; Unasaidia kuondoa nyama nzembe na kukupa slim body Unasaidia kufanya mmeng’enyo wa chakula kunyanyika kwa haraka Unasaidia kuondoa sumu mwilini kwasababu ina kiwango kikubwa cha chlorophyll Unasaidia kuupa mwili nguvu pamoja na utulivu wa akili Unasaidia kufanya ngozi kuwa na kuonekano ya ujana Inasaidia kuondoa makunyanzi Matumizi yake Inakuja na kijiko chake unatumia kijiko kimoja unachanganya kwenye kimiminika chochote chenye ujazo wa mls(118-177) kimiminika kinaweza kuwa maji,juice ,smooth au maziwa Call/whatsap:/ Location:sinza kumekucha near fine travellers hotel

Health (Afya) · new · Dar es Salaam / kinondoni /

Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)

👁 10 views

Ratings & Reviews

← Rudi Mwanzo