SokoMax - Nunua. Uuza. Rahisi.
← Rudi Mwanzo

Lung Smoker Tea

TZS 20,000

Lung smoker tea Hii ni chai nzuri sana kwa kusafisha mapafu Kwa wanaovuta sigara hii chai sio ya kukosa Pia wanaofanya kazi kwenye mazingira ya vumbi hii chai ni nzuri kutumia Inafanya kazi zifuatazo Kuondoa uchafu kwenye mapafu Kuondoa sumu kwenye mapafu Kuondoa uvimbe kwenye mapafu Kutibu infection kwenye mapafu Inasaidia kukufanya upumue vizuri Matumizi yake Unatumia tea bag mbili mara mbili kwa siku Bei:20000 Call/whatsapp:/ Location:sinza kumekucha near fine travellers hotel

Health (Afya) · new · Dar es Salaam / kinondoni /

Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)

👁 10 views

Ratings & Reviews

← Rudi Mwanzo