SokoMax - Nunua. Uuza. Rahisi.
← Rudi Mwanzo

China Herbs Urinary Track Tea

TZS 20,000

China herbs Urinary track tea Hii chai imetengenezwa na ingredients kama cranberry,dandelion pamoja na fried corn silk Kazi yake kubwa ni kusaidia afya ya mfumo wa mkojo kama(figo,kibofu cha mkojo na njia ya mkojo) Kazi zake kubwa; 🌟Inasaidia kusafisha njia ya mkojo 🌟Inasaidia kuongeza unywaji wa maji 🌟Inasaidia kuondoa harufu kali ya mkojo 🌟Inasaidia kuondoa sumu mwilini 🌟Inasaidia kuondoa uchafu kwenye mkojo Box moja lina tea bag 16

Health (Afya) · new · Dar es Salaam / kinondoni /

Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)

👁 9 views

Ratings & Reviews

← Rudi Mwanzo