SokoMax - Nunua. Uuza. Rahisi.
← Rudi Mwanzo

Bedtime Tea

TZS 20,000

Bedtime tea Hii chai inasaidia mwili kutulia na kuaandaa usingizi mzuri wakati wa usiku Kazi zake; Husaidia mwili kupata usingizi haraka pamoja na kutuliza mwili na akili wakati wa kulala Husaidia kulala vizuri bila kuamka mara kwa mara Husaidia kupunguza stress na mawazo mengi Husaidia mwili kupumzika baada ya siku ndefu Husaidia akili kutulia kwa kupunguza wasiwasi Husaidia mmeng’enyo kuwa mzuri hasa wakati wa usiku na kupunguza gesi tumboni Box moja lina tea 20 Matumizi yake Unatumia tea bag mbili kwa siku

Health (Afya) · new · Dar es Salaam / KINONDONI /

Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)

👁 12 views

Ratings & Reviews

← Rudi Mwanzo