Creatine Monohydrate Gummies
TZS 40,000
Creatine Monohydrate Gummies Hivi ni virutubisho vya creative vilivyotengenezwa katika mfumo wa pipi laini Kazi zake; Husaidia misuli kuzalisha nguvu zaidi wakati wa mazoezi ya kuinua vyuma,kukimbia kwa kasi au michezo yenye nguvu nyingi Huongeza uwezo wa kufanya mazoezi kwa muda mrefu na kwa kiwango kikubwa zaidi kabla ya kuchoka Ukiitumia hizi gummies pamoja na kufanya mazoezi ya nguvu na lishe bora huchochea ukuaji wa misuli mwilini Husaidia misuli kupona haraka baada mazoezi Husaidia kuongeza ATP ambayo ndio chanzo kikuu cha nishati kwa misuli wakati wa mazoezi Inasaidia kuongeza umakini pamoja na kumbukumbu Kopo moja linakuwa na gummies 120 Matumizi yake; Unatumia supplement mbili asubuhi mbili jioni
Health (Afya) · new · Dar es Salaam / KINONDONI /
Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)