Appetite Booster for Kids Adults
TZS 25,000
Appetite booster for kids & adults Bei:25000 Hii inakuwa katika mfumo wa liquid ina ujazo wa mls 240 na ina flavour ya strawberry tamu sana kazi zake; Kuongeza hamu ya kula kwa watoto na watu wazima Inasaidia kupata uzito kwa watu wenye upungufu wa hamu ya kula Inasaidia mwili kupata nguvu Inasaidia katika ukuaji wa watoto wanao kula kidogo Inasaidia kupona haraka baada ya ugonjwa Inasaidia kupunguza uchovu mwilini Ina ujazo wa mls 240 Matumizi yake watoto kuanzia miaka 5-12;ml 5 miaka 13-17;ml 10 watuwazima 30 ml
Health (Afya) · new · Dar es Salaam / kinondoni /
Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)