SokoMax - Nunua. Uuza. Rahisi.
← Rudi Mwanzo

Weight Gain Syrup

TZS 30,000

Weight gain syrup Hiki ni kirutubisho kinachotumika kusaidia kuongeza uzito wa mwili hasa kwa watu wenye uzito mdogo au wasiopata hamu ya kula Kazi zake; Kuongeza hamu ya kula hivyo umfanya mtu kula zaidi na kuongezeka uzito Husaidia mwili kupata lishe ya kutosha kwa ukuaji wa mwili Husaidia chakula kumeng’enywa vizuri pamoja na kufanya virutubisho viingie mwilini kwa ufanisi zaidi Husaidia kujenga mwili pamoja na kuongeza uzito Husaidia kuongeza nguvu pamoja na stamina mwilini Chupa moja ila mls 200 MatumiI yake Unatumia mls 10 asubuhi na mls 10 usiku

Health (Afya) · new · Dar es Salaam / kinondoni /

Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)

👁 9 views

Ratings & Reviews

← Rudi Mwanzo