SokoMax - Nunua. Uuza. Rahisi.
← Rudi Mwanzo

Neuropathy Nerve Support Supplement

TZS 35,000

Neuropathy nerve support supplement Hivi ni virutubisho vinavyosaidia afya ya mishipa ya fahamu hasa kama una dalili zifuatazo; ganzi Kuwaka moto Maumivu ya neva Kuchomachoma Kazi yake; Zinasaidia kulinda neva dhidi ya uharibifu unaosababishwa na sumu au sukari Zinasaidia kujenga upya tissue za neva na kuboresha kazi yake Zinasaidoa kuondoa maumivu,ganzi pamoja na kuchomachoma Zinasaidia kupunguza uvimbe unaosababishwa na maumivu na neva Zinasaidia oxygen na virutubisho kufika vizuri kwenye nerves na kuimarisha afya yake Kusaidia mawasiliano ya neva kuganya kazi vizuri Kupunguza dalili kama ganzi kuchomachoma na kuwaka moto Kopo moja lina supplement 120 Matumizi yake Unatumia supplement 2 asubuhi Mbili usiku

Health (Afya) · new · Dar es Salaam / kinondoni /

Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)

👁 10 views

Ratings & Reviews

← Rudi Mwanzo