Grapes Seed Oil Capsule
TZS 35,000
Grape seed oil capsule Hizi ni supplement ambazo zimetengenezwa kutokana na mbegu za zabibu.Zina virutubisho muhimu kama antioxidants,vitamin E, na mafuta yenye afya ambayo husaidia kulinda mwili dhidi ya uharibifu wa seli Faida za grape seed oil capsule; Inasaidia kuimarisha afya ya moyo na kusaidia mzunguko mzuri wa damu Inasaidia kushusha madhara ya cholesterol mbaya mwilini Kusaidia afya ya ngozi na kufanya ngozi ionekane yenye afya Kupunguza uvimbe na maumivu mwilini Ni anti aging inasaidia ngozi hisizeeke haraka Kusaidia kuimarisha mishipa ya damu Inasaidia kutibu magonjwa ya mishipa ya fahamu kwenye ubongo Inasaidia kukinga mwili na magonjwa ya moyo Kopo moja lina supplement 100 Matumizi yake Unatumia supplement 2 asubuhi,2 jioni
Health (Afya) · new · Dar es Salaam / kinondoni /
Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)