SokoMax - Nunua. Uuza. Rahisi.
← Rudi Mwanzo

Anti Melasma Cica Cream

TZS 20,000

Anti melasma cica cream Hii ni cream nzuri kwa ajili ya kuondoa melasma na hyperpigmentation Imetengenezwa na ingredient zifuatazo niacinamide,tranecamic acid na centella asiatica Kazi yake; Inasaidia kupunguza uzalishaji wa melanin ambayo ndio husababisha madoa Inasaidia kufanya ngozi iwe na rangi nzuri na pia inaondoa madoa Inasaidia kufanya ngozi iwe na rangi moja Inasaidia kupunguza wekundu na muwasho kwenye ngozi Inasaidia kuilinda ngozi dhidi ya jua na kuimarisha ngozi isiharibike kirahisi Matumizi yake Paka usoni kutwa mara mbili Tumia pamoja na sunscreen Note;Matokeo unaanza kuona week 2-6

Health (Afya) · new · Dar es Salaam / kinondoni /

Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)

👁 11 views

Ratings & Reviews

← Rudi Mwanzo