Hemorrhoid Spray
TZS 15,000
Hemorrhoid spray Hii spray nzuri sana inayosaidia kutibu bawasiri Jinsi inavyofanya kazi Inasaidia kuondoa uvimbe wa bawasiri Inasaidia kuondoa miwasho Inasaidia kuondoa maumivu wakati wa ku puu Inasidia kuzuia kuvuja kwa damu Inasaidia kuondoa kabisa miziz ya bawasiri Inasaidiakuondoa bawasiri za ndani na nje Hii cream imetengenezwa na pure natural ingredienti kama;Notoginseng,Calamine,Lanolin,Musk and Vaselin Jinsi ya kutumia Safisha vizuri sehemu iliyo athiriwa na bawasiri na uikaushe spray dawa kwa ndani pia kama changamoto iko nje paka kwa nje Jinsi ya kuzuia bawasiri Jitahidi kufanya mazoezi mara kwa mara Jitahidi kunywa maji pia kula vyakula vyenye nyuzi nyuzi ambavyo havileti constipation Husitumie nguvu nyingi wakati wa kujisaidia Epuka kukaa sehemu moja kwa muda mrefu
Health (Afya) · new · Dar es Salaam / kinondoni /
Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)