SokoMax - Nunua. Uuza. Rahisi.
← Rudi Mwanzo

Since Supplement

TZS 30,000

Zinc ni moja ya supplement ambayo ni muhimu sana kwenye miili yetu Inapatikana kwenye vyakula kama;mbegu za maboga,korosho,nyama,aina ya uyoga inayoitwa oyster nakadharika Na hizi ndio faida za kutumia supplement za zinc Kwanza kabisa zinc ni nzuri sana kwa ajili ya ku boost immune system Kwa ajili ya ngozi pia ni nzuri sana kwa ajili ya kuondoa chunusi Kwa wanaume inasaidia kuongeza wingi wa mbegu pamoja na kuweka hormone ya testosterone kuwa sawa Inasaidia kufanya enzyme mwilini zifanye kazi sawa Inasaidia vidonda kupona haraka Call/whatsapp:/ Location:sinza kumekucha near fine travellers hotel hotel

Health (Afya) · new · Dar es Salaam / kinondoni /

Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)

👁 11 views

Ratings & Reviews

← Rudi Mwanzo