SokoMax - Nunua. Uuza. Rahisi.
← Rudi Mwanzo

Slim Fit Juice

TZS 20,000

Okay tumewaletea juice nzuri sana kwa ajili ya kutupungua uzito Kwanza kabisa ina ladha nzuri zipo flavour nne kiwi,orange,lemon na pineaple Inasaidia vitu viviatavyo ku speed up metabolism ku burn excess fat kupunguza njaa kuondoa gesi tumboni kuzuia mafuta kutunzwa mwilini Ndani ina pakti 10 Matumizi yake Unakunywa pakti moja kwa siku unachanganya kwenye maji mls 150 Ni vizuri itimike usiku Bei:20000 Call/whatsapp:/ Location:sinza kumekucha near fine travellers hotel

Health (Afya) · new · Dar es Salaam / kinondoni /

Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)

👁 11 views

Ratings & Reviews

← Rudi Mwanzo