Mushroom Coffee Tea
TZS 30,000
Mushroom coffee tea Bei:20000 Hii chai ina mchanganyiko wa uyoga uitwao Lion’s Mane uyoga huu uota kwenye miti mikubwa ambayo inapatikana North America,Europe and Asia Hizi ni faida za kutumia Mushroom coffee Ni nzuri kwa afya ya ubongo na kufanya ubongo uwe na kumbukumbu nzuri Usaidia kuongeza umakini Kukuepusha na magonjwa ya akili Kukuondolea wasiwasi Inaongeza kinga mwilini Inasaidia kufanya utumbo wa chakula ufanye kazi vizuri Box lake linakuwa na tea bag 20 Matumizi yake Unatumia tea bag moja kila siku Bei:20000 Call/whatsapp:/ Location:sinza kumekucha near fine travellers hotel
Health (Afya) · new · Dar es Salaam / kinondoni /
Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)