Zinc for Acne Gummies
TZS 30,000
Zinc For Acne Gummies Hizi supplement zinasaidia kuondoa chunusi kwa njia ya ndani pamoja na kusafisha ngozi kazi zake; Inasaidia kuondoa uvimbe pamoja na bacteria wanaosababisha chunusi Inasaidia ngozi isiwe na mafuta mengi yanayosababisha kuziba kwa pores Inasaidia ngozi kupona kwa haraka baada ya kupata chunusi Inaaidia kupunguza wekundu na kuvimba kwa chunusi Inasaidia mwili kupambana na bacteria wanaosababisha chunusi Inasaidia kuweka homoni sawa Inasaidia ngozi kuwa safi na yenye afya kopo moja lina supplement 60 matumizi yake Unatumia supplement mbili kwa siku
Health (Afya) · new · Dar es Salaam / kinondoni /
Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)