SokoMax - Nunua. Uuza. Rahisi.
← Rudi Mwanzo

Magnesium 12-in-1 Capsule

TZS 35,000

Magnesium 12-IN-1 complex Hii supplement imetengenezwa na aina 12 za magnesium ambazo ni; Glycinate,citrate,malate,aspartate,gluconate,ascorbate,taurate,oxide,lactate,carbonate,chloride na orotate Kazi zake; Huongeza ubora wa usingizi na kisaidia mwili kupumzika Hondoa changamoto ya misuli kubana Hupunguza msongo wa mawazo na kutuliza akili na mwili Husaidia mwili kutengeneza nguvu na kupunguza uchovu Husaidia mapigo ya moyo kuwa ya kawaida na kupunguza presha ya damu Hufanya kazi pamoja na calcium kuimarisha mifupa Husaidia mmeng’enyo wa chakula kuwa vizuri vizuri hivyo kuondoa choo kigumu Box moja lina supplement:120 Matumizi yake Unatumia supplement 1 kila siku

Health (Afya) · new · Dar es Salaam / kinondoni /

Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)

👁 9 views

Ratings & Reviews

← Rudi Mwanzo