SokoMax - Nunua. Uuza. Rahisi.
← Rudi Mwanzo

Joint Support

TZS 30,000

Joint support & Bone health Hizi ni supplement kwa ajili ya watu wenye matatizo ya maumivu kwenye joint za miguu,mikono pamoja na kiuno Zipo na ingredient zifuatazo Kuna glucosamine sulfate potassium,baswella extract,baswellic acid,chondraitin sulfate,tumeric extract and so on Zinasaidia Kuondoa maumivu kwenye joint Kufanya joint ziwe flexible kufanya mifuba iwe na nguvu Matumizi yake Unatakiwa kutumia supplement mbili kwa siku Call/whatsapp:/ Location:sinza kumekucha near fine travellers hotel

Health (Afya) · new · Dar es Salaam / kinondoni /

Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)

👁 10 views

Ratings & Reviews

← Rudi Mwanzo