SokoMax - Nunua. Uuza. Rahisi.
← Rudi Mwanzo

Wins Town Collagen With Burn Powder

TZS 30,000

Collagen with burn powder Hii ni nzuri sana kwa ajili ya kuimalisha na kung’arisha ngozi, kucha na nywele pia inaimarisha mifupa. afya ya ngozi, inasaidia unyevu na unene wa ngozi kupelekea kupunguza makunyanzi na kuboresha muundo wa ngozi afya ya nywele na kucha, inaimarisha afya ya nywele na kucha. Inasaidia kuzuia nywele na kucha kukatika katika na kuharibika afya ya viungo, inasaidia kupunguza maumivu ya viungo na kufanya viwe imara

Health (Afya) · new · Dar es Salaam / kinondoni /

Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)

👁 9 views

Ratings & Reviews

← Rudi Mwanzo