Soy Lecithin Lecithine De Soja Supplement
TZS 35,000
Soy Lecithin Lecithine De Soja Supplement Hizi supplement zimetengenezwa kutoka kwenye maharage ya soya,hutoa choline ambayo ni muhimu kwa afya ya ubongo,ini na seli za mwili Faida za hii supplement; Inasaidia sana kwa afya ya ubongo pamoja na kumbukumbu na ni kirutumbisho kizuri sana katika mfumo wa neva Ni nzuri sana katika afya ya moyo na husaidia kuondoa mafuta mabaya ya cholesterol katika mishipa ya damu Ni nzuri kwa afya ya ini na pia husaidia ini katika uchakataji na usafirishaji wa mafuta Inasaidia uzalishaji wa nishati mwili kwa kutumia mafuta kwa ufanisi katika michakato ya kimetaboliki Nzuri kwa afya ya neva,hii husaidia utendaji mzuri wa mwili na akili Inasaidia mzunguko wa damu uwe mzuri mwilini hivyo husaidia kuzuia magonjwa kama pressure,magonjwa ya moyo pamoja na stroke Kopo moja lina supplement 100
Health (Afya) · new · Dar es Salaam / kinondoni /
Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)