SokoMax - Nunua. Uuza. Rahisi.
← Rudi Mwanzo

Bee Venom Pain Relief Cream

TZS 25,000

Bee Venom Pain Relief Cream Hii ni dawa nzuri sana ya kuchua imetengenezwa kutoka kwa nyuki na inasaidia kuondoa maumivu ya viungo,mgongo,misuli,arthritis na majereha madogo ya misuli Kazi yake; Inasaidia kupunguza maumivu eneo lenye maumivu baada ya kupaka Inasaidia kupunguza uvimbe Inasaidia kuchochea mzunguko wa damu uwe mzuri sehemu inayopakwa Kupunguza kukaza kwa misuli Kutuliza maumivu ya mgongo Kupunguza maumivu ya viungo kama goti na mabega Ina ujazo wa gram 55 Matumizi yake Paka sehemu yenye maumivu Pa massage vizuri kwa muda wa dakika 1-3 Tumia mara mbili kwa siku

Health (Afya) · new · Dar es Salaam / kinondoni /

Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)

👁 9 views

Ratings & Reviews

← Rudi Mwanzo