Black Hair Dye
TZS 25,000
Black hair dye shampoo hii ni shampoo nzuri sana kwa wasiopenda mvi Inafanya nywele inakuwa nyeusi in a very natural way Ujazo wake ni mls:500 Jinsi ya kutumia Chukua kiasi cha shampoo kitakacho tosha nywele zako Changaya shampoo zuri mpka ilete povu Paka kwenye nywele zako na umassage vizuri Subiri dakika 5-10 kisha uoshe
Vipodozi · new · Dar es Salaam / kinondoni /
Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)