Femfresh Wash
TZS 20,000
Femfresh soap Inafanya kazi zifuatazo Kuzuia ukuaji wa bacteria hatari ukeni Kuweka sawa ph ya uke hivyo kuzuia bacteria wabaya kukua ukeni Kuzuia infection za uke esp zile za kujirudia rudia
Health (Afya) · new · Dar es Salaam / kinondoni /
Muuzaji: Joane Rwegerera · ⭐ 0.0 (0)