Greenhouse Film
TZS 3,000
Hii ni sample namna green house inavyotengenezwa kwa kutumia Micro-sprinkler zinazozunguka pande zote katika shughuli za umwagiliaji ni nzuri,bora na imara kwa kupunguza mwaga mkali wa jua na mvua za upepo ili kuruhusu ukuwaji mzuri wa mazao na yenye afya lakini pia zinakatwa kwa square meters kulingana na idadi unayotaka.
Kilimo · new · Dar es Salaam / kinondoni /
Muuzaji: Irriguru Tanzania · ⭐ 0.0 (0)