SokoMax - Nunua. Uuza. Rahisi.
← Rudi Mwanzo

Efficient Irrigation Sprinkler

TZS 85,000

Hii ina faida kubwa kwa sababu haitoki kirahisi, inavumilia jua na joto Kali, haiharibiki kwa haraka na inafanya kazi vizuri hata kwenye pressure kubwa inatumika kwenye mifumo ya umwagiliaji yaani kilimo, katika mifugo kama kupooza joto kwa wanyama, katika bustani kama vile nyasi za viwanja, bustani za nyumbani na maeneo ya kupumzika, katika viwanda kwa kupunguza vumbi na kusafisha maeneo makubwa.

Kilimo · new · Dar es Salaam / kinondoni /

Muuzaji: Irriguru Tanzania · ⭐ 0.0 (0)

👁 12 views

Ratings & Reviews

← Rudi Mwanzo