Cylindrical Drip Lines
TZS 180,000
Hutumika kumwagilia mazao moja kwa moja kwenye mizizi,hupunguza matumizi ya maji na kuongeza uzalishaji wa mazao,husambaza maji sawasawa,kupunguza magugu na kuongeza afya ya mazao yanakuwa vizuri zaidi kwa ufanisi mkubwa na mavuno bora zina mita 500 kwa 20cm na 30cm.
Kilimo · new · Dar es Salaam / kinondoni /
Muuzaji: Irriguru Tanzania · ⭐ 0.0 (0)