Irrigation Screen Filter
TZS 45,000
Hii ni bei ya inche moja na robo ni nzuri kwa kuchuja uchafu kwenye maji,hulinda drip na sprinklers zisizibe na inafaa kwa Borehole, River, Dam, Tank hata Mto na kilimo cha kisasa kwa sababu hutumika kwenye fertigation system yaani mbolea ya maji,kilimo cha drip irrigation pamoja mfumo wa sprinkler irrigation.
Kilimo · new · Dar es Salaam / kinondoni /
Muuzaji: Irriguru Tanzania · ⭐ 0.0 (0)