SokoMax - Nunua. Uuza. Rahisi.
← Rudi Mwanzo

Premium Rain Gun Impact Sprinkler

TZS 85,000

Hutumika kusambaza maji kwa mduara wa 360 au nusu mduara 180 kwa kunyunyizia maji kwa umbali mrefu kudhibiti mwelekeo wa maji kwenye mifumo ya umwagiliaji na kutoa maji kwa usawa na ufanisi mkubwa zaidi ni nzuri imara na ngumu pia inadumu kwa muda mrefu kulingana na matumizi yake.

Kilimo · new · Dar es Salaam / kinondoni /

Muuzaji: Irriguru Tanzania · ⭐ 0.0 (0)

👁 29 views

Ratings & Reviews

← Rudi Mwanzo