SokoMax - Nunua. Uuza. Rahisi.
← Rudi Mwanzo

Sweta Nzito Zip Nusu–Style Ya Kiwango Cha Juu!

TZS 45,000

Sweta nzito zip nusu – style ya kiwango cha juu! bei rejareja: 45,000/- tu size: free size (inavaa vizuri – inakaa smart na relaxed) kama unataka kuonekana boss, kiongozi au mtu wa kiwango — hili ndiyo chaguo sahihi kwako. ubora wa daraja la juu – kitambaa kizito, cha joto na kinadumu inafaa kwa ofisini, outing, safari au matumizi ya kila siku tunapokea oda na tunatuma mikoa yote tanzania location: kariakoo – mtaa wa congo & agrey whatsapp / simu: + + + stock inaisha haraka! usisubiri hadi uone kwa mwingine — weka oda sasa uwe mbele ya wengine!

Nguo · new · Dar es Salaam / ILALA /

Muuzaji: USHINDI ADRIAN · ⭐ 0.0 (0)

👁 8 views

Ratings & Reviews

← Rudi Mwanzo