SokoMax - Nunua. Uuza. Rahisi.
← Rudi Mwanzo

‎Suti Ya Mtindo – Stylish Suit

TZS 48,000

SHATI LA KIUME: GAUCHE UOMO Ubora wa hali ya juu kwa mwanaume wa kisasa Size Zilizopo: S • M • L • XL • XXL • XXXL Bei: TSH 48,000 Tu Kama unataka kuonekana Boss, Kiongozi, au mwanaume wa kiwango, basi shati hili ni chaguo sahihi kabisa kwako. Limetengenezwa kwa ubora wa daraja la juu, lina mwonekano wa kifahari na linakaa vizuri sana mwilini. Tunapokea oda na kutuma mikoa yote Tanzania Location: Kariakoo – Mtaa wa Congo & Agrey Wasiliana nasi sasa: WhatsApp / Simu + + + Stock inaisha haraka! Usisubiri hadi uone kwa mwingine — weka oda yako sasa uwe wa kwanza kung'aa!

Nguo · new · Dar es Salaam / ILALA /

Muuzaji: USHINDI ADRIAN · ⭐ 0.0 (0)

👁 7 views

Ratings & Reviews

← Rudi Mwanzo