Premium Street Sneakers
TZS 90,000
RABA ORIGINAL ZIMEWASILI Muonekano wa kisasa, imara na zenye ubora wa hali ya juu. Zinavaa vizuri na zinaendana na mitindo mbalimbali. Size: 41, 42, 43, 44, 45 Rejareja: 90,000 TZS Location: Kariakoo – Mtaa wa Congo & Agrey WhatsApp / Simu: + + + Tunatuma mikoani kote Tanzania Usichelewe! Mzigo unaisha haraka. Weka oda sasa uwe tofauti na wengine.
Nguo · new · Dar es Salaam / ILALA /
Muuzaji: USHINDI ADRIAN · ⭐ 0.0 (0)