SokoMax - Nunua. Uuza. Rahisi.
← Rudi Mwanzo

Ofa Ofa = Roch Ac Btu 9000 Inverted Imara Sana Warranty Miaka3

TZS 669,000

Hii ac ni nzuri sana inapuliza balaa, na ina inverta, nimetoa ofa... pia tunazo ac zote brand zote kama lg, hisense, samsung nanyinginezo na kuanzia btu 9000, 12000, 18000, 24000 hadi 36000 . tuko kariakoo tupigie simu

Electronics · new · Dar es Salaam / ilala /

Muuzaji: MICHAEL MLILO · ⭐ 0.0 (0)

👁 15 views

Ratings & Reviews

← Rudi Mwanzo